القارعة
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
وَتَكُونُ ٱلْجِبَالُ كَٱلْعِهْنِ ٱلْمَنفُوشِ ٥
{5} Ama milima migumu na imara, hiyo itakuwa "kama sufi zilizochambuliwa." Yaani, kama sufi iliyopeperushwa ambayo inabaki kuwa dhaifu sana na kupeperushwa na upepo mdogo tu. Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: "Na utaiona milima unaidhania imetulia; nayo inakwenda kama mwendo wa mawingu" kisha baada ya hayo inakuwa mavumbi yaliyotawanyika, kisha itapotelea mbali na hakuna chochote chake kitakachobakia cha kuonekana. Hapo, mizani zitawekwa mbele, na watu watagawanyika katika makundi mawili: watu wa furahani na wa mashakani.