يونس
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
فَٱلْيَوْمَ نُنَجِّيكَ بِبَدَنِكَ لِتَكُونَ لِمَنْ خَلْفَكَ ءَايَةً ۚ وَإِنَّ كَثِيرًا مِّنَ ٱلنَّاسِ عَنْ ءَايَـٰتِنَا لَغَـٰفِلُونَ ٩٢
{92} "Leo basi, tutakuokoa kwa mwili wako, ili uwe Ishara kwa wale walio nyuma yako." Wakasema wafasiri: Hakina Wana wa Israili kwa sababu ya hofu kubwa mioyoni mwao itokayo kwa Firauni, hawakuamini kumzamisha, na wakawa na shaka, basi Mwenyezi Mungu akaiamuru bahari imtupe kwenye jabali refu mwili wake; ili kuwa mfano na ishara kwao. "Na watu wengi wameghafilika na Ishara zetu." Basi wanapita juu yao na hurudiwa, basi hawanufaiki nazo. Kwa sababu hawakubali, bali wale walio na akili na moyo wa sasa; kwani anaona miongoni mwa ishara za Mwenyezi Mungu ushahidi mkubwa wa ukweli wa yale waliyoambiwa Mitume.